"Hey Guys Pliz Kwa Heshima Zote na taadhima naomba msiwe mna comment about Huddah Or Prezzo in My Page. That Chapter is closed muda mrefu sana and matter of fact Dont need Drama. My Life seems to be Naturally . I never have plans for where it’s going to take me. Huwa nafuta na kujisikia vibaya nikiona mbaendelea comment about Prezzo. well The truth ni Kuwa My heart Belonged to another man and The Tattoo of his name katika Mkono wangu itakuwa removed yes …. working on that. I Respect him and he is such a good Person but pliz enough with his name on My Page….hope mmenielewa. love you all" Says Loveness Diva
Monday, 23 September 2013
DIVA aachana na PREZZO?
Categories: Celebrities News, Mahusiano
Related Posts:
Mapacha wa nje???!!!!!!! … Read More
Kumbe Q Chillah nae kama Ray C? Wimbi la Wasanii wa Muziki wa kibongo kuingia kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kumbe ni kubwa kuliko inavyojulikana na wengi, hivi karibuni wambea wa mjini tulizinyaka habari kuwa Msanii mahiri wa muziki wa B… Read More
WEMA asiyesikia la mkuu uvunjika guu .......... LEO ngoja nimzawadie Wema Isaac Sepetu safu hii kwa kutumia maneno machache lakini naamini ujumbe utamfikia. Sihitaji kumtambulisha Wema kwani jina lake linasimama na kujitosheleza. Ukisikia jina la Wema unawaza nini kwa h… Read More
"Sikumbaka NANCY bali alinikubalia mwenyewe ............... MAPUNDA wa STEPS ENTERTAIMENT SIKU chache baada ya kuibuka kwa skendo ya ubakaji inayomkabili prodyuza maarufu wa filamu Bongo ambaye pia ni Msemaji wa Kampuni ya Steps Entertainment, Seles Mapunda ameibuka na kufungukia ishu hiyo. Akizungumzia ishu… Read More
Uozo wa Msanii Nora Waanikwa na Aliye Kuwa Mumewe MUME wa mcheza filamu mahiri za Kibongo Nuru Nassoro ‘Nora’, Masoud Ally ‘Luqman’ ameamua kuvunja ukimya baada mkewe huyo kueleza sababu zilizofanya ndoa yao kuvunjika ambazo anadai siyo za kweli. Akizungumza na mwand… Read More
0 maoni:
Post a Comment