Saturday 14 September 2013

Bongo Flavour inalipa? angalia mjengo wa Madeee


Kupitia mitandao ya kijamii The Presider wa Manzese -  Madee kaandika hivi ......"siri ya utajiri ni ubahiriii#hahaha welkam white houze@mbezi dsm#" Ukijaribu kuangalia sana unaweza ukaona au kugundua kuwa ujumbe wake unamaana namaanisha  ukikomaa unaweza kufanikiwa , na kwa tetesi nilizozinyaka kitaa zimenifahamisha kuwa haya ni moja ya mafanikio ya wimbo wake wa  "Pombe yangu"

0 maoni: