Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka na kusema kuwa kiukweli Ney alimpenda sana........na kwa sasa anajivunia kupendwa na kijana huyo kwani alihangaika sana kumpata. Akizungumza na mmoja wa mapaparazi, Nisha alisema Ney alimfuatilia kwa kipindi kirefu na alimzungusha kama miaka miwili kabla hata hajawa staa. “Nikivuta ile picha ya kumdengulia kiasi kile mpaka kuamua kumkubali, naamini alinipenda tu na hata kama hakunipenda lakini najivunia kwamba alihangaika kunipata,” alisema Nisha. Mapenzi ya wawili hao inasemekana hayakudumu kwa muda mrefu iliwachukua miezi kadhaa kabla ya kuachana na kila mmoja akichukua time yake.
Sunday, 25 August 2013
Home »
Celebrities News
,
Mahusiano
» NISHA afunguka kuhusu mahusiano yake na NEY wa MITEGO HAKUNIPATA KIRAHISI
NISHA afunguka kuhusu mahusiano yake na NEY wa MITEGO HAKUNIPATA KIRAHISI
Categories: Celebrities News, Mahusiano
Related Posts:
Madeni ya Harusi yamtesa CHAZ BABA! SIKU chache baada ya kufunga ndoa, Rais wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel Baba ‘Chaz Baba’ ameingia kwenye mateso ya kusumbuliwa na madeni yaliyotokana na harusi hiyo. Akizungumza na mapaparazi wa Amani kat… Read More
Halle Berry and Olivier Martinez's baby name revealed: Couple chose heavenly moniker for their little 'gift from God' Proud parents: Halle Berry and Olivier Martinez, pictured in 2011, have chosen an unusual name for their new son What's old is new again for Halle Berry and her husband Olivier Martinez. On Monday the name of their son,… Read More
Hii ni kwa Wanaume Kuna baadhi ya familia ....mwanaume akishindwa baadhi ya majukumu yake hasa ya kipato ni kawaida kusikia mume akimwambia mkewe 'fanya maarifa' au ufanye maarifa basi'................... Hivi hili hasa linaamaanisha nini?… Read More
Lina kuolewa hivi karibuni? MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya Estelina Sanga aka 'Linah', siku za hivi karibuni kaamua kuvunja ukimya kwa kutojali muonekano wa vidole vyake .......inasemekana Linah alionekana akiwa am… Read More
Haya huwafanya baadhi ya wanawake (Mabinti) kusita kuingia katika ndoa… Vijana wengi wa kiume hujikuta katika wakati mgumu kuchukua maamuzi ya kuishi na mwanamke japo yawezekana wakawa wanatamani kufanya hivyo kwa muda mrefu kutokana na vikinza vingi, vingine vikiwa ni vya kimaisha na vingine… Read More
0 maoni:
Post a Comment