Friday, 12 July 2013


Hodi hodi wana hot n town!
Mie ni mdada  wa makamo naishi Dar es salaam .... shida yangu kubwa naombeni msaada wa kujua maeneo gani ya mwili wa mwanaume yakiguswa au kufanyiwa chochote yanampa raha muhusika  kupitiliza....... Nia na madhumuni ya haya yote ni maandalizi kabambe ya kumtuliza shemeji yenu nyumbani....... nataka akitoka kazini afikirie nyumbani na si kwingineko..... Pls  majibu yenu ndio dawa yangu.

Aunt S Dar.

Related Posts:

  • Msaada tutani ........Mume wangu kanizidi mshahara lakini kila mara yuko kwenye money crisis Katika miaka yote tangu tumeoana mume wangu amenizidi kipato kwa maana mshahara wake ni mkubwa kuliko wa kwangu..lakini mara kwa mara yeye analalamika hana pesa. Sio tu kwamba analalamika lkn ukiangalia ni kweli hana na … Read More
  • Msaada tutani .......Mke wangu anashida nisaidieni.... Habari zenu wapendwa! Ninaomba mnisaidie ushauri wa tatizo hili..........Kila nikikutana kimwili na mke wangu analalamika sana kuwa anasikia maumivu, najitahidi kuchukua muda mrefu wa kumuandaa lakini ila malalamiko n… Read More
  • Ungekuwa wewe ungefanyaje? Wadau naombeni ushauri..... Mimi ni Mwanamke  mwenye umri wa miaka 34 sijabahatika kuzaa na wala kuolewa ila kwa  kipindi cha miaka 6 nimekuwa kwenye mahusiano na mwanaume mwenye mtoto mmoja aliyefiwa na mkewe… Read More
  • Mchumba wangu amezaa na mume wa mtu nifanyaje? Habari zenu Wana hot n Town! Ni masikitiko na majonzi kwangu na kuumia sana moyo...maana nilitokea kupendana sana na binti mmoja wa kisukuma na hata kutambulishana kwa familia zetu...mwaka jana nimebahatika kupata nafasi… Read More
  • Hodi hodi wana hot n town! Mie ni mdada  wa makamo naishi Dar es salaam .... shida yangu kubwa naombeni msaada wa kujua maeneo gani ya mwili wa mwanaume yakiguswa au kufanyiwa chochote yanampa raha muhusika  k… Read More

0 maoni: