Wednesday 19 June 2013

Kibanda aanza kufunguka kuhusu watesi wake?

Unamkumbuka  Absalom Kibanda(pichani)? unakumbuka tukio lake? 





Namnukuu Kibanda.... "Acha niliseme hili jamani pengine moyo wangu utatulia. Mmoja wa watu walio nishambulia ana fanana kwa sura na umbile la Ludovick Rwezaura yule kada wa CHADEMA aliyewekwa ndani na Lwakatare ambae nimemuona kupitia magazeti na mitandao ya kijamii. Nimeshangazwa sana mtu huyu yupo karibu na baadhi ya wahariri wenzangu na hata msaidizi wangu bwana Ansbert Ngurumo, bado napata shaka ni kuwa watu wana fanana au?"

Chanzo -  DIRA YA MTANZANIA.

0 maoni: