Friday 31 May 2013

Kifo cha MAGWEA - Millard AYO ndani ya South Afrika kuwakilisha Clouds FM

Hii ndio Hospitali ya St Hellen Joseph, mwili wa marehem Albert Mangwea ulipohifadhiwa


Watanzania wakiongozwa na Kinjeketile  Ngombale Mwiru wakitazama aina ya majeneza mbalimbali wakati wakati wakifanya uchaguzi lipi linunuliwe. Inasemekeana gharama za  jeneza na kusafirisha mwili zitagharimu shillingi Milioni 4.5  za Kitanzania

Millard akifanya mahojiano na mmoja wa watanzania walioko Soth Africa

Millard Ayo akifanya interview na mmoja wa Watanzania nje ya hospitali alikolazwa M2TheP.

Siku ya tarehe 23 mwezi wa kwanza, Izzo B alikuja ndani ya studio za Clouds Fm kwa ajili ya kutambulisha wimbo wake "Ball Player" huku akiwa ameambatana na Quick Rocka na Ngwea..

sikiliza interview yote hapa
Video  ya interview hii hapa

0 maoni: