Tuesday, 2 April 2013

Mtanzania auawa CHINA, maiti yafichwa mwaka mzima ...............

KIFO cha mfanyabiashara wa Kitanzania, Mkumbukwa John Shayo, kimetawaliwa na mazingira yenye utata ambayo kwa uzito wake, inatosha kuyaita maajabu ya mwaka 2013. Mkumbukwa, aliyefikwa na mauti akiwa na umri wa miaka 37, kifo chake kilichotokea China, kilifanywa siri nzito, hivyo kusababisha maiti yake, ikae mochwari karibu miezi 12 (mwaka mmoja) bila kuzikwa...


KUSOMA GAZETI HILI BOFYA… au nunua Gazeti la  UWAZI la  2- 8 April 2013

Related Posts:

  • Ndoa ya THEA and MIKE yavunjika? SIKU chache baada ya ndoa ya mwigizaji, Ndubagwe Mithayo ‘Thea’ kuvunjika, mwigizaji Deogratius Shija ‘Shija’ ameibuka na kueleza maumivu anayoyapata juu ya tukio hilo. Akizungumza na Amani hivi karibuni, Shija alisem… Read More
  • Kope za bandia zampofua macho mrembo AMA kweli hujafa hujaumbika, mrembo Khadija Omar, mkazi wa Kigogo, Dar amepata pigo kufuatia kupofuka macho alipokuwa akiwekwa nyusi bandia katika saluni moja iliyopo maeneo hayo, Risasi Jumamosi lina mkasa … Read More
  • Dunia ina mambo !......Kijana wa miaka 32 answa na kibibi kizee cha miaka 80 Tukio hilo la kustaajabisha limetokea mwishoni mwa wiki iliyopita, nyumbani kwa bibi huyo, Yombo –Buza, jijini Dar es Salaam ambapo wajukuu wa bibi huyo ndiyo waliomnasa. Kwa mujibu wa chanzo chetu, wajukuu wa bibi hu… Read More
  • Rapa wa FM ACADEMIA afa china...... MWANAMUZIKI aliyepata kutamba na Bendi ya FM Academia ya jijini Dar es Salaam, Rapa, Haristot Shungu ameuawa nchini China huku kifo chake kikitawaliwa na utata mkubwa. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini kilicho… Read More
  • RAY, CHUCHU HANS laivuuuu AMA kweli penzi ni kikohozi kulificha huwezi! Hatimaye uliokuwa uhusiano wa chini kwa chini wa nyota wawili wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans, siyo siri tena baada ya wahusika hao wakuu kujiachia ‘l… Read More

0 maoni: