Friday, 26 April 2013

MANGE KIMAMBI aendeleza kampeni za kuzuia wanawake kuhudhuria show za Diamond huko London

Unajua wanawake wa kitanzania sijui kwnaini hatuko strong. Chris Brown alikiona cha moto na aliomba msamaha mpaka akili ikamkaa sawa ndo watu wakaanza kumkubali tena. Inabidi Diamond afanywe mfano kwa wanaume wengine wanaoona it;s ok kudhalilisha wanawake kwa kiasi hiki.
Naamini binadamu wote tunafanya makosa ila tofauti inakuja pale tunaposhindwa kukubali makosa na kuomba msamaha,  ningemuona ni mstaarabu iwapo angalau angetoa public apology kwa alichokifanya, Ila kakaa kimya anajua bado mtaendelea kumfagilia.
That was really bad what he did. Najua kuna watu ambao hawana mitoko huko London na huu ndo mtoko wao wa maana sana wa kwenda kurushana roho. Ila natamani kama hizo nguo mlizotaarisha mkaziweka mvae kwenye shughuli ingine kama ya Ommy Dimpoz ,etc.
For once wanawake embu tushikamane, hivi ni nani kati yetu hajawahi kumpigia ex wake kubembeleza penzi?  can you imagine ungekuwa na hali gani kama huyo mwanaume angeweka hiyo clip yako kwenye youtube? Si ungetamani Ardhi ipasuke????
kuna walionitumia email wanasema washanunua ticket sasa wafanyaje? oh well, ticket zenyewe si pound 10 tu sijui 20. Embu fanya kama umetoa sadaka uisahau.

Kwa kweli mimi na wana uturn wenzangu we are hopping kwamba next week hakutokuwa na picha za mademu wanakata viuno na jamaa stejini..... Itatuhuzunisha sana......
Najua nilisema atakaekwenda niletewe picha zake humu tumchambue, i was just joking. Kila mtu ana choice yake maishanani, kama wewe unaona huna haja ya kushikamana na wanawake wenzio kwa hili haya nenda.
The guy is using this woman kukuza jjina, yupo tayari kumdhalilisha ili mradi tu yeye apande chati, nyimbo zake mbili zilizopanda chati ndnai zina jina la Wema Sepetu, maana anajua akimtaja wema tu basi nyimbo itapanda chati. Basi bora angekuwa anatumia jina lake kwenye nyimbo zake ila anamuheshimu na kumtreat kama dadake sababu mapenzi yameisha, ila anamtumia kukuza nyimbo zake na bado anaona haitoshi akaona amdhalilishe vile.
NAOMBA USOME TENA MANENO ALIYOANDIKA WEMA LAST WEEK, IMAGINE NI MDOGO WAKO ,NDUGU YAKO, DADA YAKO AU NI WEWE MWENYEWE JE UNGEENDA KWENYE SHOW?
Na kama Diamond angekuwa ni mtu anaetambua makosa yake kama binadamu wengine angeomba msamaha. Si haba angesamehewa sababu hakuna binadamu alie perfect. Ila ndo kwanza anaona ni sawa alilofanya. 
PS: Mtakao amua kuwa kichwa ngumu mkaenda haya its  ok ila mkumbuke karma is a bitch.......
Kwa hisani ya - u-turn.co.tz

0 maoni: