Mama mzazi wa Mwanasiasa machachari na Mbunge wa Kigoma Kaskazini ZITTO KABWE kaamua kufunguka kuhusu fununu za yeye kugombea UBUNGE .... Mama huyo anayefahamika kwa jina la Shida Salum ameongea na moja ya vyombo vya habari na kusema kuwa hana mpango wa kugombea ubunge katika jimbo lolote nchini, mama huyo aliendelea kusema kuwa yeye ni mwanachama wa Chadema na atabaki kuwa mwanachama, Mama Zitto pia aliweka wazi wa wafidha wake wa Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Taifa (Chawata),”
Monday, 29 April 2013
Home »
Siasa
» Baada ya uzushi wa kutaka kugombea UBUNGE kumuandama mama mzazi wa ZITTO KABWE afunguka
Baada ya uzushi wa kutaka kugombea UBUNGE kumuandama mama mzazi wa ZITTO KABWE afunguka
Categories: Siasa
Related Posts:
Hii ni fungua mwaka … Read More
ANC ilifuja pesa za mazishi ya Mandela Upinzani nchini Afrika Kusini unataka uchunguzi kufanywa kuhusiana na madai ya ubadhirifu wa pesa zilizotengwa na chama hicho kwa matumizi wakati wa hafla ya mazishi ya hayati Nelson Mandela. Matakwa hayo ya upinzani … Read More
Umejifunza nini kupitia picha hizi? … Read More
Siasa za Kibongo noma..... CATHERINE MAGIGE AONJA MACHUNGU YA MAADUI WA ZITTO KUNDI la watu ambao inadaiwa kwamba wamekula yamini ya kumchafua Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe kwa namna yoyote ile, wamemuonjesha machungu Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha, Catherine Magige.&… Read More
CHADEMA hawana Ikulu wanarusha chopa tatu angani kujenga chama, wakichukua nchi itakuwaje? Kurusha Helkopta kutoka Dar- Arusha (Takriban 450KM) kunagharimu takriban 5M, hii ni pamoja na Fuel, parking fees, Mshahara wa rubani na check up. 1. Kurusha helkopta 3 kwa wakati mmoja kuzunguka mikoa 9 (Takriban… Read More
0 maoni:
Post a Comment