Friday, 8 February 2013

Ray afunguka na kusema simuoi MAINDA wala JOHARI

KATIKA kile kilichotafsiriwa kuwa ni kuwafutilia mbali wasanii wenzake, Blandina Chagula na Ruth Suka ‘Mainda’ aliowahi kudaiwa kutoka nao kimapenzi, staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi amefunguka kuwa, hatarajii kuoa msanii kwani anaogopa presha.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Ray alisema kuwa anajua matatizo ya kuoa staa hivyo ili kuepukana nayo ameamua kuwekeza penzi lake kwa mwanamke anayefanya kazi benki (jina amelihifadhi kwa sasa) akidai kuwa huyo ndiye tulizo la moyo wake.
“Kaa ukijua kuwa sina mpango wa kumuoa staa yeyote, mwanamke ninayetarajia kumuoa ni mfanyakazi wa benki na mipango yangu ikikamilika nitakueleza kila kitu. Mimi sitaki presha bwana,” alisema Ray.

Mainda
Johari

Related Posts:

  • Wema Sepetu matatani tena? DIVA wa filamu za Bongo ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu anasakwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kawe, Dar es Salaam kwa tuhuma za kufanya fujo hotelini, kumtukana matusi ya nguoni na kumpiga makofi meneja wa h… Read More
  • AgnesJerald 'MASOGANGE' akamatwa na madawa ya kulevya Afrika ya Kusini Wote ni Watanzania,walianzia safari Dar,washikiliwa Afrika Kusini Wanawake wawili raia wa Tanzania wametambuliwa kuwa ndiyo wanaodaiwa kuingiza shehena ya dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 6.8 n… Read More
  • NGASSA akata Mzizi wa Fitina...... atua Mazoezini Yanga HATIMAYE kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa (pichani), amekata mzizi wa fitna baada ya kuanza kujifua rasmi na timu hiyo, ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu asajiliwe. Awali kulikuwa na utata wa mchezaji huy… Read More
  • Dida apigwa dongo BAADA ya hivi karibuni Mtangazaji wa Radio Times, Khadija Shaibu ‘Dida’ kufunga ndoa na mwanaume aitwaye Ezden, mashosti zake wamemtaka kutulia sasa na asijaribu kugeuza ndoa kuwa fasheni. Wakizungumza na Ijumaa kwa… Read More
  • PICHA YA SHARO YAMKOSESHA USINGIZI AMANDA PICHA ambayo staa wa filamu Bongo, Tamrina Mohammed Poshi  ‘Amanda’ aliyoipiga na marehemu Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea’ inamkosesha usingizi kila akiitazama.Akizungumza Risasi hivi karibuni, Amanda alisema picha h… Read More

0 maoni: