Thursday, 21 February 2013
Magazeti pendwa
Categories: Celebrities News, Magazeti pendwa
Related Posts:
Unajua habari kamili kuhusu Kifo cha Mbongo Movie RECHO HAULE? soma hapa na uone matukio mbalimbali ya kuagwa na mazishi yake . Saa 23 alizopigania uhai wake . Madaktari wamficha mchumba wake ukweli . Utabiri wa Kuambiana kwa Recho huzuni tupu . Odama abaki na siri nzito za marehemu Maskini! Wakati tasnia ya filamu Bongo ikiwa katik… Read More
Ndoa ya RAY na CHUCHU HANS yapingwa? Ni pigo kubwa! Ile ndoa inayodaiwa kukaribia kufungwa kati ya nyota wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Miss Tanga 2006 aliye pia msanii wa filamu Bongo, Chuchu Hans imepingwa isifungwe mpaka mambo f’lani y… Read More
MKE AFUMANIWA NA SHEMEJIYE CHUMBANI, PACHIMBIKA Mtu na shemeji yake: Paulo na Anjela ‘Mama Anorld’ baada ya fumanizi. Ujira wa usaliti ni aibu kubwa! Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Baba Anorld almaarufu Ngosha, amedai kumfumania laivu mkewe, Anjela ‘Mama Anorld’ … Read More
Aibu kubwa Bongo Movies: MSANII ANASA KWENYE MTEGO WA KUJIUZA ILE skendo ya kukithiri kwa baadhi ya mastaa Bongo kujiuza imechukua sura mpya kufuatia msanii wa Bongo Movies, Isabella Francis ‘Vai wa Ukweli’ naye kunasa mtegoni, Ijumaa lina kisa kizima. Tukio hilo la ai… Read More
Emanuel Eribarik ‘Nay wa Mitego’ akiwa na Mbongo Muvi, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. PICHA za mkali wa Hip Hop Bongo anayesumbua na wimbo wa Nakula Ujana, Emanuel Eribarik ‘Nay wa Mitego’ akiwa na Mbongo Muvi, Fatu… Read More
0 maoni:
Post a Comment