KIJANA aliyejipatia umaarufu kwa kumvamia msukuma kambumbu wa Real Madrid, ‘Kaka’, Nagari Kombo amedaiwa kuwa ndiye anayemiliki penzi la Mbongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linnah’. Kwa mujibu wa chanzo makini, wawili hao wamekuwa wakionekana kwenye viwanja tofauti vya starehe na mara kwa mara wamekuwa wakishea vitu vyao ikiwamo gari la Linnah.
“Mbona siyo siri, Linnah na Nagari ni wapenzi kitambo na siku hizi wanajiachia bila kificho kwa raha zao. Hawamuogopi mtu,” kilisema chanzo hicho kilichoomba hifadhi ya jina lake. Paparazi wetu alipomtafuta Linnah kuhusiana na ishu hiyo, alipokea simu na alipoulizwa kinachoendelea baina yao alikata simu fasta na kuizima kabisa.
Thursday, 14 February 2013
Home »
Celebrities News
» LINNAH ndani ya penzi jipya?
LINNAH ndani ya penzi jipya?
Categories: Celebrities News
Related Posts:
Madawa ya Kulevya yamfilisi AISHA MADINDA WIMBI la uuzaji na utumiaji wa madawa ya kulevya limeshika kasi hivi sasa kwa wasanii na watu mbalimbali huku Waziri wa Uchukuzi, Harrison Mwakyembe akilivalia njuga kulikomesha.Wakati hayo yakiendelea, mnenguaji aliyetik… Read More
Yanga wamuongezea adhabu Mrisho Ngassa? IMEFAHAMIKA kuwa Klabu ya Yanga, ndiyo iliyochangia ukubwa wa adhabu aliyopewa kiungo wake mshambuliaji Mrisho Ngassa, Championi Ijumaa limebaini. Taarifa hiyo inakuja wakati ambao Ngassa amefungiwa kucheza mechi sit… Read More
Robert Mugabe kuiongoza Zimbabwe Robert Mugabe ameapishwa kwa mara ya saba kama kiongozi wa Zimbabwe. Siku hii ya Alhamisi imetangazwa kuwa siku kuu kuwawezesha wafuasi wa kiongozi huyu mwenye umri wa miaka 89 wahudhurie sherehe za kuapishwa. S… Read More
Makavu Laivu Simu … Read More
Nani zaidi kati ya hawa? … Read More
0 maoni:
Post a Comment