Kweli duniani kuna vituko!! watu hawa picha inasemekana walianguka karibu na kituo cha Polisi cha wilaya ya Monyoni mkoani Singida baada ya kuanguka na ungo waliokuwa wanatumia kama usafiri kutoka kijiji cha Kinika kata ya Mkwese wilayani Manyoni kuelekea mkoani Mbeya..
Sunday, 3 February 2013
Home »
» Ajali angani?
Ajali angani?
Related Posts:
Urembo wamfikisha hapa! Habari zaidi fungua hapa - Urembo kazi … Read More
NAPE ,LEMA NA MBOWE watakiwa kupeleka ushahidi POLISI Jeshi la Polisi limetishia kuwakamata Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na limesema litamhoji Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye baada ya wanasiasa hao kudai kufahamu watu waliohu… Read More
LULU amponza Dr. Cheni STAA mkubwa wa filamu za Kibongo, Mahsein Awadh ’Dk. Cheni’, amevamiwa na watu wawili wanaodaiwa ni vibaka na kufanyiwa fujo, kisa kikidaiwa kuwa ni dhamana aliyomwekea mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ katika ile kesi ya… Read More
First daughters in Fashion....... Fuatilia habari hii kwa kufungua hapa - First Daughters … Read More
Kifo cha Langa mama yake afunguka....Ningekuwepo Mwanangu asingeondoka MAMA wa marehemu Langa Kileo, Vanessa Kimei amefungua kinywa chake na kusema kifo ni mipango ya Mungu lakini kama angekuwepo nyumbani kwake Mikocheni, Dar, mwanaye asingekufa haraka kiasi hicho. Akizungumza na Amani h… Read More
0 maoni:
Post a Comment