Jamani tukubali au tukatake ila Wahaya kwa kujisifia ni nomaa, unaweza ukavunja mbavu kwa kucheka hasa pale unapofanya mazungumzo nao , yaani ni kosa kubwa kwao kufanya mazungumzo na watu bila kujisifia, unaweza kushangaa hata issue ya msiba wao misifa full hebu soma hapa .... Ni juzi tu nimesikia hii kwenye matangazo ya vifo.....!Ndugu Jestus Rweyemamu wa Oysterbay Dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake wa kiume Josephat Jestus Rweyemamu kilichotokea jana huko Italia baada ya kupaliwa na Burger akiwa anaendesha gari yake mpya aina ya HAMMER aliyonunua hivi karibuni, Msiba utafanyika kwa Shangazi yake huko Washingtown DC Marekani. Taarifa ziwafikie kaka yake mkubwa akiwa UK, dada yake mkubwa akiwa South Africa, ndugu yake wa mwisho akiwa Uswisi bila kumsahau pacha wake anayechukua Phd huko Austraria ............................. aaaaaaah jamani haya yote yanahusu? acheni hizo bwana....
Tuesday, 15 January 2013
Home »
Vituko mtaani
» Wahaya ni nomaaaaaaaaaaaa
Wahaya ni nomaaaaaaaaaaaa
Categories: Vituko mtaani
0 maoni:
Post a Comment