Thursday 24 January 2013

Ustaa kazi SHILOLE aja na mpya ya 2013 ....

Kweli umaarufu kazi! 


Inasemakana kuwa Jumapili iliyopita mmoja wa Masupa staa wa Kibongo anayejulikana kama SHILOLE aliamua kubadili muonekano wake hasa kichwani! habari tulizozipata kitaa ni kuwa SHILOLE anataka kuwa tofauti na 2012 kimuonekano na ndio maana kaamua kubadili style ya nywele yake kwa kunyoa kama KIDUKU na kubadili rangi baadhi ya sehemu za kichwa chake! 

......Haya huyo kaanza  nani anafuta mimi sijui na atafuta na lipi stay tune.....................

1 maoni:

khamis juma said...

angejiona duhh kichef chef kiukwel