Wednesday, 9 January 2013

Ulokole wamshinda STARA THOMAS aangukia tena kwenye Bongo Fleva baada ya kuimbia kwa muda

Nina uhakika utakua unaikumbuka ile stori ya mwimbaji wa bongofleva Stara Thomas kutangaza kuokoka na kuachana kabisa na muziki wa bongofleva, badala yake atakua anafanya gospel.
Japokua alitangaza kuwepo kwenye gospel rasmi baada ya kuokoka, Stara aliwahi kuweka wazi kwamba wasanii wa gospel hawana upendo na umoja, yani ni afadhali wasanii wa bongofleva mara mia manake amelishuhudia hilo kwa macho yake na wala sio kuhadithiwa.
  
Sasa ukweli  nikwamba   Mwimbaji huyu mkali wa voco ambae natamani angefanya na kazi ya utangazaji wa radio pia, amefanya kolabo na mwimbaji Linex wa bongofleva....

Alichosema Linex ni kwamba wimbo huo wa bongo fleva umeshakamilika na kinachosubiriwa ni taratibu zilizopangwa za kuuachia, na kwa mujibu wa Linex ni kwamba Stara Thomas mwenyewe ndio alimpigia ili wairekodi hiyo kolabo ya bongofleva.

Related Posts:

  • Nabii Mwingira agoma kupima UKIMWI MTUME na Nabii wa Kanisa la Efatha, Joseph Elias Mwingira anayekabiliwa na kesi ya kuzaa na mke wa mtu, hatimaye amefunguka mengi kuhusu madai hayo lakini amekataa kabisa kupima Ukimwi, Risasi Mchanganyiko lina kila kitu.&… Read More
  • WASTARA ANYWA SUMU! Kisa ni madeni na manyanyaso? Wastara akiwa kitandani baada ya kunywa sumu. IKIWA imetimia mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu kifo cha mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, Jumamosi iliyopita amedaiwa kufa… Read More
  • 'Bosco Ntaganda aliamrisha mauaji' Kiongozi wa zamani wa waasi katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Bosco Ntagandaa amefikishwa katika mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai ICC huko The Hague. Mwendesha mkuu wa mashitaka ICC,Fatou Bensouda amesema kuwa… Read More
  • 'I lived my way so I'm going to die my way': OJ Simpson 'goes on hunger strike in prison' Sources: OJ is so depressed 'he wants to sit down in a corner and die' He 'wants to kill himself so that his children can get his money' The 66-year-old, who is serving kidnapping, assault and robbery sentence in Nevada, is … Read More
  • Back together? urprise, surprise! Lewis came calling to collect Nicole at he studio with a taxi, gifts and his hand Gift bags! Lewis came with some serious gifting in the boot Leading his lady: Lewis and Nicole walk out of the… Read More

0 maoni: