Hivi kwanini wenzetu nyie si wepesi hata kidogo wa kukiri makosa yenu na kuomba msamaha? Kwanini mara nyingi huwa mnatafuta means ya kujusfty makosa kuliko kuomba msamaha? je ni ubabe ama ni aibu ama mnahisi kufanya hivyo ni kujishusha hadhi yani kutoka kuwa mwanaume na kuwa mtu mwingine?je na kwa wale mnaokiri na kuwaangukia wake zenu kwa samahani, je wake zenu wamewahi kubadili heshima yenu ama hata kukudharau?
Tuesday, 25 December 2012
Wanaume, tupeni majibu hapa...
Categories: Mahusiano
Related Posts:
Flora Mbasha afunguka kuhusu sakata lake na Gwajima , Mahusiano yake na Mumewe...... Nina Mimba ya Mbasha sio Gwajima !!!! Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni mke wa Emmanuel Mbasha amesema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na na Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima Flora amesema hayo jana … Read More
Love on air!!! VANESSA, JUX mapenzini? MBONGO-Fleva anayefanya poa na ngoma yake ya Nitasubiri, Juma Mussa ‘Jux’ na staa mwenzake ambaye ana kofia nyingine ya utangazaji, Vanessa Mdee ‘V-Money’ wanadaiwa kuwa ni wapenzi, Risasi Jumatano limeinyaka. … Read More
Shakira Is Pregnant Again: And Baby Makes Four Shakira is pregnant and over the moon. The Colombian singer and former Voice coach confirmed in an interview that she and her boyfriend, soccer player Gerard Pique, are expecting their second child together. In … Read More
I'm a Prison Guard Who Married an Inmate Jenee and Robert talk about how they met and wed after he went to prison for second-degree manslaughter Robert is 45 and Jenee is 40. They've been married for nine years. Jenee: We met in 2000 at a correctional fa… Read More
How do you know you've met "The One" The excitement of a new relationship is absolutely amazing. You have someone new to text back and forth with. You get to get dressed up and go out on dates. You've got butterflies in your stomach and you can't stop smil… Read More
0 maoni:
Post a Comment