Jamani hata arobain bado vituko na mastory kibao yameanza kutokea mitaani, Mara oooh Sharo alitaka kuitisha kikao aoe shombe shombe, na sasa tunasikia kuna mtangazaji kajitokeza ana mimba ya miezi 4 mmmmmm, sijui wengine tena watajitokeza kama marehemu Kanumba? Kwa nini msijitokeze mapema wahusika wakiwa wazima mnasubiri hadi wafe?
Saturday, 8 December 2012
Mtangazaji ana Mimba ya Sharobaro?
Categories: Celebrities News, Magazeti pendwa
Related Posts:
Achezea kichapo kwa kufanya mapenzi karibu na Msikiti........... KHAAA! Operesheni Fichua Maovu ‘OFM’ iliyo chini ya Global Publishes, ipo mzigoni na hivi karibuni imenasa tukio la aina yake ambapo mke wa mtu amechezea kichapo ‘hevi’ akidaiwa kufanya ukahaba jirani na msikiti, Risasi Mc… Read More
Mrembo afukuzwa jukwaani kwa kuvaa nusu uchi...... MWENYEKITI wa Kamati ya Mashindano ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga Jumamosi iliyopita alimtimua mshiriki wa shindano la Redd’s Miss Morogoro 2013, Saphina Chumba- pichani (20) jukwaani wakati shindano hilo lilipokuwa li… Read More
Mama yake WEMA ashikwa na jazba..... Atishia kumchoma mtu kisu.... VIDEO inayomuonesha mama wa Wema Isaac Sepetu, Miriam Sepetu akizua timbwili ‘hevi’ nyumbani kwa mwanaye huyo huku akitishia kumchoma mtu kisu imevuja, Ijumaa limeinasa. Kwa mujibu wa video hiyo, mama Wema alitimba ny… Read More
Kajala awekwa mtu kati..... afunguka kuhusu uhusiano wake wa kimapenzi na PETIT LEO tunatimiza ahadi yetu kwako kuwa wiki hii utamsikia staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja akijibu na kufafanua laivu maswali mliyomuuliza wiki iliyopita. SHUKA NAYO… Kajala akimlisha keki Petit Man wakati wa shere… Read More
Kifo cha KASHI... yametimia KIFO cha msanii wa siku nyingi katika tasnia ya filamu za Kibongo, Jaji Hamisi ‘Kashi’ kilichotokea Jumatatu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kimehitimisha maono ya mchungaji aliyetabiri kuwa mastaa wawili mmoj… Read More
0 maoni:
Post a Comment