Wednesday 19 December 2012

Je unajua mambo 10 usiyoyajua kuhusu SHILOLE? soma hapa ....


1.Shilole ametimiza miaka 25 hii inamaana alizaliwa tarehe 18 mwezi 12 mwaka 1987
2.Shilole na watoto wawili alipata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 16
3. Mpaka sasa Shilole ashacheza movie/filamu 17
4.Shilole ana nyimbo 4, ngoma ya kwanza 'Lawama',  'Dume Dada',  'Viuno'  'Dudu'
5.Shilole anasema kuwa msanii aliyemvutia yeye kuimba ni Ray C
6.Shilole anamiliki maduka mawili ya nguo na pia na mpango wa kufungua Cafe hivi karibuni
7.Shilole alishawahi kubakwa akiwa mdogo na ndo hapo alipopata mimba nakumlazimu kuacha Shule.
8.Shilole alizaliwa Tabora nakukulia huko baadae ndo akaja Dar es salaam
9.Shilole hivi sasa analipwa shilingi milioni 2 kwenye shoo
10.Rangi anayoipenda ni  Pink

0 maoni: