Tuesday 4 February 2014

Miaka 37 ya CCM: Wasanii wa bongo movies wachukua rasmi kadi za uanachama. Yumo JB , Richie, Uwoya, Johari, na wengine

Miaka 37 ya CCM: Wasanii wa bongo movies wachukua rasmi kadi za uanachama. Yumo JB na Irene Uwoya
Katika kuadhimisha miaka 37 ya kuzaliwa kwa CCM baadhi ya wasanii wa filamu nchini wakiongozwa na JB waliamua kuchukua rasmi kadi za uanachama wa chama cha mapinduzi Baadhi ya wasanii hao ni JB, Richie, Irene Uwoya,Hadji Adam, Johari na Amanda poshy. 

0 maoni: