Mazito yaibuka kukamatwa kwa JACK PATRICK
HABARI mpya za supastaa modo wa Bongo aliyedaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’ Macau, China, Jacqueline Patrick ‘Jack’(pichani) zinazidi kumuumiza mrembo huyo.
Mrembo huyo alikamatwa Desemba 19, mwaka jana katika …Read More
DIAMOND kumnunulia WEMA jumba la Mil. 125
STAA wa Bongo Fleva mwenye mbwembwe kibao, pia anasifika kwa kuwa msafi na anasemekana ndiye mwenye mkwanja wa nguvu Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anadaiwa yuko kwenye mchakato wa kumnunulia jumba la kifahari mpenzi wake w…Read More
Mahakama yamfilisi WEMA
YAMETIMIA! Ni kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha! Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu aliyesifika kwa kumwaga fedha kila kukicha ameanza kufilisiwa, Ijumaa Wikienda lina habari ya kipekee kuhusu mrembo hu…Read More
0 maoni:
Post a Comment