Sunday, 5 May 2013

Diamond ampa mpenzi wake zawadi ya aina yake


Sukari ya warembo (Diamond) atoa zawadi ya maneno matamu ya mapenzi kwa PENY katika siku yake ya kuzaliwa...... mmmmmh inawezekana ni ubunifu au utundu au mapenzi ya kweli kiasi cha  Diamond  kuonekana kama mwanaume pekee na kufanya wadada wagombane.......Jana  ni birthday ya Penniel Mungilwa na mpenzi wake Diamond Platnumz, amemwandikia maneno matamu, kama yanavyosomeka hapa chini.......

“Sometimes I wish you could know how much you mean to me…its a lot’..fu***n a lot, I can’t even explain it.. It’s even more than money… sometimes I don’t even know how to col u, a wife, friend,sister,bedmate, partner.. Ooh God! I don’t know coz you are more than dat,”


“Siku zote umekuwa mwema, mkarimu,mpole,nidhamu na mwenye mapenzi tele juu yangu…. You always should keep this in your mind “I LOVE YOU SO MUCH”… Happy birthday Darling.”

Kwa maneno haya, hakuna msichana anayeweza kujizuia kulia kama akiambiwa na mpenzi wake.

 Baada ya kuona ujumbe huo ulioandikwa na Diamond kwenye Instagram, Penny nae alijibu hivi......

“Baby u just made me cry!! Oh God Naseeb I luv u so much hubby…wallahi sina hata cha kujibu to make u understand How I appreciate ur sweet luv,God has given me so many things but bringing u in my life is the best gift I have received…U just made my day,years,a lifetym…I wont forget this…thank u hubby.”

0 maoni: