Saturday 23 November 2013

Zahoro Matelephone akamatwa na sembe Oman

Aliyekuwa  Mfanyabiashara mashuhuri wa simu za mkononi hapa Tanzania  Zahoro Matelephone (mwenye shati la mikono mirefu pichani) inasemakana amekamatwa Oman kwa tuhuma za kukakatwa na madawa ya kulevya, Baadhi ya watu wamesema karibu kipindi cha mwaka mmoja  sasa mfanyabiasha huyo alihamia falme za kiarabu (Oman)   baada ya kuona mambo yake ya kibiashara yanamuendea kombo.....

.........................Stay tune ....................

0 maoni: