Tuesday 15 October 2013

Ujanja au ujinga?

Sijui ni ujanja au ujinga?.... Baada ya Picha za DIAMOND na WEMA kusambaa kwenye mitandao ya kijamii sasa ni zamu ya PENNY...... kama inavyoonekana  pichani PENNY nae aonekana akiwa kwenye picha na mwanaume anayeitwa Raheem  aka Raheem Da Prince. Habari za mujini  zimesema  Raheem aliwahi kuwa na mahusiano ya karibu na WEMA baada ya kuachana na DIAMOND......... "Raheem Da Prince" ni muhitimu wa  Chuo Kikuu cha  Dar-Es-Salam

Stay tune .....................................

0 maoni: