Friday 1 March 2013

Sandra akanusha kupigwa talaka..

Mwigizaji wa kike  wa Bongo Movie almaarufu kwa jina la Sandra ambaye kwa siku za hivi karibuni tuliwahi kurusha habari za kupigwa kwake talaka na mumuwe amekanusha habari hizo kupitia kipindi cha HOt MIX  cha luninga cha Channel 5 
Sandra kupitia kipindi hicho alisema yeye hakupewa talaka kama  inavyosemekana kwenye jamii na wala hajaachana na mumewe  na ukweli ni kuwa ndoa yao haina matatizo na  wanapendana hayo ni maneno ya uzushi ya watu wasiopenda kuona wao wakipendana !........................

0 maoni: