Thursday 7 March 2013

Hali halisi Hostel ya UDSM Mabibo ......


Hivi inaingia akilini kweli ? picha hii imechukuliwa katika moja ya chumba  cha hostel ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam almaarufu kama Mabibo hostel . Ni nani wa kulaumiwe hapa?
1. Serikali
2. Uongozi wa Chuo?
3. Uongozi wa Wanafunzi?
4. Wanafunzi wote kwa ujumla?

Hawa ndio wale wenye ndoto za kuja kuwa wanasiasa na Viongozi wa Baadae... fikiria kiongozi huyu atakuwa wa namna gani kama elimu yake imepitia mazingira haya?

Tafakari ........



0 maoni: