Friday 4 October 2013

Bila condom namaliza haraka sana, ni tatizo au kawaida?


Habari zenu wadau!

Mimi ni kijana wa kiume, katika ujana wangu nimekuwa na mahusiano tofauti ambayo mara nyingi sana karibu zote nilikuwa natumia Condom kwenye kujamiiana.. Na sijisifii ila mara zote wanawake huwa ndio wanasema wamechoka maana ni spidi mwanzo mwisho na hadi nimalize ni kazi sana.

Sasa yamenikuta makubwa, baada ya kuwa na mahusiano ya muda mrefu kidogo na mwenzangu tukaamua kwenda Kupima ili tujue hali zetu na tunashukuru majibu yametoka mazuri na toka hapo mwenzangu anataka twende kavu kavu maana condom zinamuumiza na kutokana na hali zetu tukaamua kuendeleza libeneke wakati tunasubiri kubariki ndoa yetu..


Sasa kavu kavu mwenzangu naona kama haridhiki maana nikichomeka tu sichukui round manii zinatoka.. Yaani nimekuwa tofauti hadi najishangaaa..

Naombeni mnishauri kama nipo sawa hama ni ugonjwa huu, na kama ni ugonjwa nisaidiane maelekezo ya daktari bingwa wa hili tatizo maana nahisi kama simtendei haki mwenzangu na mwakani tunategemea kuoana sasa si itakuwa balaa maana wazungu wanatoka haraka wakati mwenzangu ndio kwanza anaanza mechi

Nitashukuru sana kwa msaada wenu 
Uncle S

0 maoni: