Sunday 7 July 2013

Yanayojiri mujini............... Ally Kiba na Madam Rita?

Photo: "Kuwa mwaminifu kwa kile kitu ambacho kipo moyoni mwako" - 
Andre Gide. Nawatakia siku njema na wiki ya mafanikio.

Habari za mujini sasa hivi ni Ally Kiba na Madam Rita............  mambo yalianza kutag na kulike, ila sasa kuna hatua nyingine.......... inasemekana sasa hivi Ally Kiba  anaendesha gari ya Madame........ na anatinga nayo hadi mitaa ya nyumbani kwao Kariakoo......... Mdau kazidi kunyetisha kuwa usiku wa Kili Awards pale mlimani city Ally alikuwa parking na Madame kwa muda mrefu wakipiga story na  walionekana wakiingia kwenye gari na kutoka........... Pia inasemekana watu hawa wameshaonekana pamoja wakiwa  Maisha club VIP na wakaondoka na gari pamoja...........kama haitoshi watu wameshawaona  pamoja Runway Masaki , na inasemekana Kiba sasa hivi hupigiwa simu aende  kupata lunch na Madame huko Osterbay kwenye mgahawa fulani............ Kwa wanaomjua Kiba na movement zake inaonyesha jamaa ndio kashajiweka ingawa mambo yanaenda kwa siri sana.................Inasemakana hata marafiki wa Kiba  akina  Hillary, Mudi Muzungu, China na wengine wanajua kuwa dogo kajiweka kwa mamaa wa  matalenti na inaonekana na Madame nae kadata kabisa na Kiba..

Stay tune......................

0 maoni: