Sunday 7 July 2013

Msaada ............ Nataka kuvunja ndoa kisheria




Habari zenu Wadau wa  Extreme79!
Natumai mu wazima na mnaendelea vyema kulisukuma gurudumu la maendeleo.  Naomba msaada wetu katika hili.........Mimi ni mume wa mtu niliyefunga ndoa mika 6 iliyopita, ndoa yangu niliifungia Kanisani  lakini kwa sasa   imefikia mahali ambapo haiwezi tena kuendelea baada ya juhudi nyingi kufanyika .....Naomba ushauri wenu wa kisheria ni hatua gani naweza kufanya kisheria ili tuimalize ndoa hii?Msaada wenu ni muhimu


Kaka M Dar es salaam.

0 maoni: