Wednesday 17 July 2013

Ndege ya Coastal yaleta kizaazaa Arusha?




Moja ya ndege za Kampuni ya Coastal leo imetaka kuleta kizaazaa baada ya kubinuka katika kiwanja cha ndege Arusha. Chanzo cha tatizo hilo imesemekana ni kukosewa kwa kupangwa mizigo katika ndege hiyo kulikofanya na wafanyakazi....... wengine pia wameleza tatizo hilo limechangiwa na  kutokuweka vifaa maalum vya usalama vya kuzuia kubinuka.....

0 maoni: