Monday 22 July 2013

Msaada kwenye tuta ..................... Nimezaa na Mke wa mtu


Habari zenu Wadau!
Naombeni msaada kwa hili ............... Wakuu pasipokujua niliazisha uhusiano na mke wa mtu tukiwa chuoni na uhusiano huu ulizaa mimba...... mwanzoni sikujua ila baada ya kupata mimba aliniweka wazi kuwa yeye ni Mke wa mtu..................Nimekutana nae hivi karibuni akiwa na huyo mtoto , kiukweli  mtoto ni mzuri sana na anafanana na mimi kabisa .....  nifanyeje ili nimchukue?

Uncle M Dar 

0 maoni: