Monday 13 May 2013

Dhamana ya LWAKATARE yashindikana?

Hakimu anayesikiliza Kesi ya Lwakatare katika mahakama ya Kisutu Mh. Katemana yupo likizo kwa wiki mbili. Hivyo basi mahakama imeshindwa kutoa dhamana kwa Lwakatare na kupiga kalenda kesi hiyo mpaka Tarehe 27 mwezi huu. Lakini mawakili wa Lwakatare wanafanya juu chini ili waweze kupata dhamana hiyo japo juhudi zinaonekana kugonga mwamba.
Stay tune........

0 maoni: