Monday 18 March 2013

SANDRA azidi kuitetea ndoa yake

ACTRESS Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ amefunguka kuwa taarifa zilizozagaa kitaani kuwa ameachwa na mumewe, Haithaman Abrahaman si za kweli.…Sandra alifunguka hayo kupitia Stori 3 ambapo alisema taarifa hizo ndizo zilimpa hata mkosi kwani zilipoanza kuvuma ndiyo kipindi ambacho alipata ajali ya gari.
“Sijawahi kuachwa, mimi pamoja na familia yangu tunafurahia maisha ya ndoa. Hao walioeneza hizo taarifa, walikuwa na lengo la kuniharibia na hawajaweza,” alisema Sandra.


Kwa hisani ya GLP

0 maoni: