Sunday 9 June 2013

Wajue Wanawake 10 Warembo katika bara la Afrika

Jackie Appiah - Muigizaji toka Ghana

Yvone Nelson - Muigizaji toka Ghana

Omotola Jelade - Muigizaji toka Nigeria

Genevive Nnaji - Muigizaji toka Nigeria

Jokate Mwegelo - Mwanamitindo na Mjasiriamali toka Tanzania

Nancy Sumari - Aliwahi kuwa Miss Tanzania, aliingia kwenye fainali ya Mrembo wa Dunia(Miss World Finalist turned model), Mjasiriamali

Nadia Buhari - Muigizaji toka Ghana

Juliet Ibrahim
Jullieth Ibrahim - Muigizaji toka Ghana

Flaviana Mtata - Mwanamitindo wa Kimataifa toka Tanzania

Jacqueline Ntuyabiliwe - Mrembo wa Tanzania 2000, Mwanamuziki

Leila Lopez - Mrembo toka Angola

0 maoni: