DENTI wa chuo kimoja kilichopo jijini Mwanza (jina tunalihifadhi) aliyefahamika kwa jina la Fatma Omar amejikuta akiumbuka kwenye mtandao wa BBM baada ya picha zake chafu alizokuwa ‘akimfoadia’ mpenzi wake kuvuja. Picha hizo zikiwemo zinazomuonesha mwanadada huyo mwenye asili ya Kiarabu akiwa amevaa nguo ya ndani tu zinapatikana mtandaoni na inadaiwa kuwa mwenyewe amejikuta akiugua ghafla baada ya kubaini ameaibika.
Baada ya Ijumaa kuzinasa picha hizo na kubahatika kupata namba zake, mwandishi wetu alimpigia simu Fatma ili kujua kilicho nyuma ya pazia ya picha hizo ambapo alifunguka:“Jamani hizo picha anayezisambaza ni mwanaume aliyekuwa mpenzi wangu anayeishi Arusha, anaitwa Amin Lema. Siku moja usiku aliniomba nimtumie nikafanya hivyo nikiamini hawezi kunifanyia mchezo mbaya.
“Juzi akaniomba nimtumie pesa kama ambavyo ilikuwa desturi yake, nikamnyima na ndipo uhusiano wetu ukavunjika. Baadaye nikasikia picha zangu za utupu zimevuja, kwa kweli sikuwa na jinsi na nilijua zitafika kwenu ‘so’ fanyeni mnavyoweza,” alisema Fatma.
Kwa hisani ya GLP
Kwa hisani ya GLP
0 maoni:
Post a Comment