Friday 1 February 2013

Wema Sepetu kushiriki Big Brother mwaka huu?

Kweli Mujini shule....  kijijini jembe ..... Yule muigizaji  mwenye makeke na muuza magazeti ya bongo Wema Sepetu, leo hii ametia maguu katika Ofisi  za Multchoice na kuchukua fomu kwa ajili ya kushiriki kwenye mchakato wa kwanza wa shindano la Big Brother  Africa BBA, 2013. Kwa mujibu wa Wambea wa mji  imefahamika  former mlimbwende huyo katia maguu leo akionyesha furaha na  kujiamini....................... Stay tune

0 maoni: