Kuna ukweli wowote katika hili?
Ridhiwani kikwete naomba uthibitishe au ukanushe umiliki wako wa jengo hili ndani ya Dodoma.Nitatoa nyaraka baada ya kusikia kauli.Naomba kuwasilisha.
…Read More
CHADEMA wameliona la Balozi wa CHINA tu? vipi kuhusu SHIBUDA?
Ni kiwewe lakini ni pia ni woga mkubwa na kutokujiamini kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa hatua yake iliyochukua ya kuandika barua serikalini, ubalozi wa china na kisha Umoja wa Mataifa baada ya kuchukiz…Read More
0 maoni:
Post a Comment