Qeen SUZZY na G- SEVEN wamwagana..........
ULE uchumba uliodumu kwa muda mrefu wa mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia, Suzan Chubwa ‘Queen Suzy’ na aliyekuwa rapa wa bendi hiyo, Aimerichad Mwamba ‘G-Seven’ umevunjika na sasa kila mtu ana maisha yake.
Chanzo makini …Read More
Simba yatenga million 25 kwa ajili ya KASEJA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, wametenga kitita cha dola 20,000 (zaidi ya shilingi milioni 25) ili kipa wao, Juma Kaseja aongeze mkataba.
Awali kulikuwa na taarifa kuwa kipa huyo atatemwa Msim…Read More
MAIMARTHA na AUNT LULU waaibika! Nguo na viatu ndio chanzo .....
MSANII wa filamu asiyekaukiwa na skendo, Lulu Semagongo 'Anti Lulu' hivi karibuni alijikuta akiaibika kwenye onyesho la Bendi ya Extra Bongo baada ya kuvamia jukwaa na kuanza kucheza huku akizianika sehemu zake nyeti.
…Read More
0 maoni:
Post a Comment