Monday 10 December 2012

MSANII MWINGINE APIGA PICHA ZA UTUPU


Hawa Wasanii wa Bongo muvi wanazidi kwenda pabaya kabisaaaa haya muangalie huyu  dada pichani pia ni msanii wa filamu Bongo, anaitwa Mary John ‘Maua’ amepiga picha za utupu  sasa sijui hapa anaigiza au ana maana yake?Baadhi ya picha hizo ambazo , zinamuonesha mwanadada huyo akiwa mtupu sehemu ya juu ya mwili wake huku sehemu ya chini akiwa amevaa taiti tu na nyingine akiwa anatunisha matiti yake. Wambeya wa mji baada ya kutia timu  kwa mmoja wa rafiki zake na kutaka kujua kulikoni huyu dada afanye hivyo!  Nae alikuwa na haya ya kusema -  Maua amekuwa na tabia hiyo ya kupiga picha chafu kwa muda mrefu na hata matiti yake ametumia dawa za Kichina, “Yule mbona anazo picha nyingi za utupu, unashangaa hizo, kuna nyingine ni mbaya kabisa,” 

Ili kujua ukweli wambeya wa mji wakaona hata ngoja wamtafute Maua mwenyewe   cha ajabu  alikiri kuwa hizo picha ni zake .................


0 maoni: