Saturday 8 December 2012

JOHARI: SITEGEMEMI MABUZI KAMA MASTAA WENGINE

 
STAA wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa hategemei wanaume kama wanavyofanya mastaa wengi wa kike Bongo.Akipiga stori na paparazi wetu  hivi karibuni jijini Dar, Johari amewataka mastaa wa kike Bongo kuacha kuwategemea wanaume kifedha bali wafanye kazi ili kujikwamua kwani wanaume hao wanawatumia na kuwamwaga.
 “Yaani ndugu zangu wasanii wa kike kama si masuala ya wanaume, basi ni umbea wa kuangalia fulani anatoka na nani, nani nitoke naye ili nipate pesa, siyo ishu ndiyo maana mimi sitegemei mabuzi,” alisema Johari...

0 maoni: