Monday 7 October 2013

Maisha ya Kisupastar.......mwaka wake huu!


Tazama picha mpya za baby Madaha kwenye gari yake mpya aliyopewa huko Kenya. So Sexy…!


Huu ndio MKOKO mpya wa Baby Madaha aliokabidhiwa na label ya Candy n' record  ya kenya  baada ya   kusaini mkataba wa kufanya kazi na kampuni hiyo.......

Angalizo
Tunamtakia kila la heri Baby Madaha ila tunaomba afanye kazi na asifanye mbwembwe akajikuta anaishia kubaya.....

1 maoni:

Anonymous said...

Gooooosh Mchuma wa nguvu, jitahidi basi Baby usije ukalewa sifa na kujiingiza kubaya kama wengine waliopita ambao wamebaki zilipendwa, kaza msuli