Tuesday 8 October 2013

Hii ni kwa Wanaume

funny hands
Kuna baadhi ya familia ....mwanaume akishindwa baadhi ya majukumu yake hasa ya kipato ni kawaida kusikia mume akimwambia mkewe 'fanya maarifa' au ufanye maarifa basi'...................

Hivi hili hasa linaamaanisha nini? Maarifa gani ambayo mwanaume akishindwa, mwanamke ataweza? Halafu unakuta mwanamke 'anafanya kweli maarifa' na maisha yanakwenda... Sasa 'haya maarifa' ya wanawake ni yapi?

0 maoni: