Wednesday 18 September 2013

Kama wewe ungefanyaje?

Habari zenu Wana hot n town!

Hebu soma hapa .......Upo na mumeo au mkeo kwa zaidi ya miaka 10 mkiishi kwa amani na furaha na mmebarikiwa kupata watoto 2. Siku mmeo/mkeo anakwambia ooh! Blaa blaaa blaaa unajua nilikuwaga na mtoto kabla hatujaoana sasa moyo unaniuma kuweka siri hii leo nimeona nikwambie. Kama ni wewe unafanyaje na kweli ukifwatilia unajua yupo na ni mkubwa kulingana na mlipofunga ndoa na kuna baadhi ya ndugu zake wanajua hili. 


Ushauri jamani kama ni wewe unafanyaje.... M Dar?

0 maoni: