Wednesday 18 September 2013

Hivi huu ni ukosefu wa ajira au kujiendekeza tu? Angalia live movieKibaka akiwa kazini

Ilianza hivi

Chezea kichapo wewe?  akafikia uamuzi huu.......


Watu wakamtolea uvivu baada ya kumlazimisha atoke uvungu wa gari bila mafanikio

Mwangalie vizuri alificha nini katika sehemu zake nyeti?

Baada ya kuchezea kichapo akajidai kazimika ili apate huruma

0 maoni: