Tuesday 20 August 2013

Huu ni utamaduni au ?

Utamaduni wa kucheza uchi au nusu uchi upo kwenye mataifa mengi sana, lakini sijawahi kuwa kuna kundi la wanaume wacheza uchi, kila nikisikia habari za kusasambua na kumwaga radhi wahusika wakuu huwa ni wanawake. Jamani kwanini wanawake pekee ndio wanaopenda kuonyesha miili yao, kwanini sio wanaume? Je ni kwamba wanawake wanaona fahari sana kuonyesha nyeti zao mbele ya kadamnasi, na wanaume wanaona aibu sana kufanya hivyo?

Hapa naomba sana msaada wa majibu katika maswali haya

Uncle Bujibuji

0 maoni: