Friday 30 August 2013

DIAMOND amnunulia Mzee MUHIDINI NGURUMO gari!

Pichani juu ni gari aina ya FunCargo lenye namba za usajili T789 AYS alilopewa Mzee Muhidin Gurumo na msanii mahiri wa muziki wa Bongofleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' wakati akizindua video yake mpya iitwayo 'Number One' jana katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.



Kwa hisani ya  Shakoor Jongo na Imelda Mtema / GPL

0 maoni: