Tuesday, 21 May 2013

Kipigo cha SIMBA chamlaza na njaa Afande SELE siku mbili!!



Kweli ushabiki mbaya .... dawati letu la udaku limebaini kuwa Msanii maarufu Afande  Selemani ama Afande Sele au Baba Tunda amekuwa mmoja wa Shabiki mkubwa wa Simba  ambaye ameshindwa kuvumilia kipigo cha Simba  na kugoma kula kwa siku mbili mfululizo...... 
Akizungumza na Suddy Brown katika U Heard kupitia XXL ya Clouds FM, mke wa rapper huyo mkongwe Mama Tunda, amethibitisha kuwa mumewe amegoma kula toka siku ya mechi.pole sana Afande Sele...!!!!!

Related Posts:

  • Biggest Beauty No-No's Christina hit the great trifecta of beauty fails with this one: over bronzed, invisible brows and sparse spider lashes. …to over powdering. Blend, blend, blend! Keep your lipstick from bleeding with an outer liner i… Read More
  • Meneja wa Wema Sepetu afunguka kuhusu mahusiano yake na Wema MARA  nyingi amekuwa akionekana karibu sana na msanii wa filamu mwenye jina kubwa Bongo, Wema Isaac Sepetu. Ukaribu wao umewafanya baadhi ya watu kuhisi tofauti. Wapo waliosema ni wapenzi kutokana na picha zao za ki… Read More
  • UWOYA kuanzisha kipindi cha Luninga? Habari zilizozagaa mtaani ni hizi ........Mwanadada Irene Uwoya anakuja na kipindi chake cha TV kitakachukuwa kikirushwa na kituo cha luninga cha Clouds TV . Kipindi hiki kipya na cha aina yake kitawawezesha watu mbal… Read More
  • Redio ya SHAROimenifanya mauzauza MSANII wa Kundi la Green Masage, linalorusha michezo yake kupitia Televisheni ya TBC, Daniel Mmasi ‘Face Brown’ amefunguka kuwa redio ya marehemu Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ aliyoinunua, imemletea mauzauza Akizungumza… Read More
  • Barbados carnival queen! Habari kamili fungua hapa - Barbados carnival queen? … Read More

0 maoni: