Saturday, 13 April 2013

Je kuna ukweli wowote kuhusu hili? ....Makabila ya Wasomi, Wakorofi na Wavivu Tanzania.

Katika jamii ya Tanzania, kuna makabila karibu 150. Makabila yafuatayo yanasemwa kuwa na sifa kama hivi

1. MAKABILA YA WASOMI
Wachaga, wapare, wanyakyusa, wahaya

2. MAKABILA YENYE HASIRA
Wahehe (kujinyonga), Wakurya (kuua), Wajita

3. MAKABILA YA WAVIVU
Makabila yote mikoa ya pwani; wazaramo, wakwere, wapogoro, wazigua, wasambaa etc.

4. OMBA OMBA
Hapa wagogo wameshika namba

5. WAFANYAKAZI (wachapa kazi)
Wasukuma, Wasafwa, Wabena, wanyamwezi

6. UCHAWI na USHIRIKINA
Wafipa (Sumbawanga), Wakinga (Iringa/Njombe), 


Mdau - fredito13

0 maoni: