Thursday 4 April 2013

Chezea Mapenzi wewe!!!!! Ndoa ya UWOYA na NDIKUMANA mpyaaaaaa!!!!!!!!?????



Siku ya  30/03/2013 ilikuwa siku ya kumbukumbu muhimu sana kwa wasanii wa Bongo Movie Jimmy Mafufu na Idrisa Makupa  baada ya wasanii hao  kufunga pingu za maisha ..... pia siku hii iliweza kuweka wazi mapenzi ya Irene Uwoya na Mumewe Ndiku baada ya wanandoa hao kuwepo kwenye mahusiano yasiyoeleweka kwa muda mrefu ..... Wanandoa hao walionyesha furaha  ya hali  juu na kuonyesha umma wa watu kuwa wao bado wanapendana na kuhitajiana tofauti na watu wanavyoongea....... yaani ilikuwa full mapenzi  kiasi cha kushindwa kuficha hisia zao mbele za watu..........

Kila la heri Irene na Ndiku........Hope this happiness will last forever....

0 maoni: