Wednesday 20 February 2013

WEMA atambulisha ofisi yake rasmi..............


Siku chache baada ya msanii wa tasnia ya filamu Bongo, Wema Abrahamu Sepetu kutangaza kuwa anamiliki kampuni mpya ya filamu"Endless Fame Film" leo mchana aliweza kufanya press conference na waandishi mbalimbali huku akitambulisha rasmi kampuni hiyo. Kwa mujibu wa msanii huyu alisema kwamba kwasasa bado ofisi yake haijaanza kufanya kazi ila inatarajia rasmi kuanza kazi mwezi wa tatu mwaka huu.

    Angalia picha za ofisi yake  itayofahamika kwa jina  'Endless Fame Film' 

















0 maoni: